NYARAKA ZA ZABUNI ZIANDALIWE KWA UMAKINI MKUBWA!

posted in: Media, Policies, Press Release | 0

KUTAYARISHA NYARAKA ZA ZABUNI NI MCHAKATO NYETI !

 

21078294_10214380941905657_3886225687745105543_n

Utayarishaji wa nyaraka za zabuni ni mchakato nyeti ambao unapaswa kuzingatiwa na Idara mtumiaji na Sekereteriati ya Manunuzi ya Taasisi yeyote ya umma. Hii ni kukidhi matakwa ya Uongozi unaozingatia Utawala bora na kupata huduma au bidhaa inayolingana na thamani fedha iliyotumika kuigharimia…Mafunzo ya zaidi ya saa 15 yalihudhuriwa na Wakuu wa Idara na Vitengo vya TRL ambapo walikabidhiwa vyeti vya kuhudhuria..na kukabidhiwa aliyekuwa akikaimu nafasi ya Mtendaji Mkuu wa TRL Mhandisi Albert L. Magandi hivi karibuni..makao makuu ya TRL jijini Dar es Salaam..habari zaidi katika picha…

Warsha ya PSPTB kuhusu Sheria ya Manunuzi ya mwaka 2011 pamoja mabadiliko yake
Warsha ya PSPTB kuhusu Sheria ya Manunuzi ya mwaka 2011 pamoja mabadiliko yake

21034227_10214380937665551_2849352926860457152_n 21034390_10214380933065436_874059016226282585_n 21034581_10214380931185389_8681487581459230150_n 21077716_10214380929865356_869386138926933556_n 21077723_10214380940865631_5115786922839693855_n (1) 21077723_10214380940865631_5115786922839693855_n 21078417_10214380938065561_8352146759129976872_n 21078789_10214380934945483_4073765415595755047_n 21105508_10214380932105412_968972074197202424_n 21105540_10214380933785454_6434151151831648462_n 21105755_10214380934305467_6009108419211379442_n 21150049_10214380935385494_8008627609869037975_n 21150111_10214380937065536_2284942603879144425_n 21150116_10214380938705577_7918917541523691304_n 21150246_10214380939225590_8804993674093630182_n

HUDUMA YA TRENI YA ABIRIA KUANZA TENA DAR JUMAPILI JUNI 11, 2017!

Huduma ya usafiri wa Abiria kuanza tena Dar siku ya Jumapili Juni 11, 2017. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Focus Makoye Sahani amewaeleza Waandishi wa habari jana asubuhi makao makuu ya TRL Dar es Salaam. Amesema kuwa huduma za usafirishaji wa abiria na mizigo zilihamishiwa kwa muda mjini Morogoro kuanzia Mei 20, mwaka huu baada ya daraja mojawapo katika mto ruvu kutitia. Kazi ya ukarabati wa daraja hilo ilikamilika Juni 2, 2017. Hadi wakati huu inapoamriwa kuwa treni za abiria nazo zianzie Dar takriban treni za mizigo 15 zimeshapita katika daraja hilo bila ya mushkeli wowote.. Habari zaidi ni katika picha ikiwemo za ukaguzi wa daraja uliofanyika juzi Juni 07, 2017.
treni ya abiria dar juni 11, 2017 3
treni ya abiria dar juni 11, 2017 1

treni ya abiria dar juni 11, 2017 4

treni ya abiria dar juni 11, 2017 5

treni ya abiria dar juni 11, 2017 6

treni ya abiria dar juni 11, 2017 7

treni ya abiria dar juni 11, 2017 8

treni ya abiria dar juni 11, 2017 9

treni ya abiria dar juni 11, 2017 10

treni ya abiria dar juni 11, 2017 11

treni ya abiria dar juni 11, 2017 12

HATIMAYE UKARABATI WA DARAJA LA RUVU WAKAMILIKA!

HATIMAYE UKARABATI WA DARAJA LA RUVU WAKAMILIKA!

Jioni ya Ijumaa Juni 2, 2017 Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Nd Masanja Kadogosa akifuatana na Waandishi wa Habari walishuhudia Wahandisi na Mafundi wa TRL na Rahco wakikamilisha kazi ya ukarabati wa daraja mojawapo la reli lililoharibika takriban wiki tatu zilizopita.
Treni nyepesi ya ufundi ilipita taratibu kutoka upande wa kituo cha Ruvu Junction kuja upande wa Kituo cha Ruvu bila ya mushkeli wowote.
Aidha Mkurugenzi Mtendaji huyo aliwataarifu Wanahabari kuwa kwa mujibu wa Wahandisi wa Reli zoezi litakalo fuata ni kufanya majaribio ya kupitisha treni za mizigo kwa siku zipatazo 3 na baada ya tathmini treni za abiria zitaruhusiwa kupita hapo darajani . Habari zaidi katika picha..
MD RUVU 20

MD RUVU 1

MD RUVU 2

MD RUVU 3

MD RUVU 4

MD RUVU 5

MD RUVU 6

MD RUVU 7

MD RUVU 8

MD RUVU 9

MD RUVU 10

MD RUVU 11

MD RUVU 12

MD RUVU 13

MD RUVU 14

MD RUVU 15

MD RUVU 16

MD RUVU 17

MD RUVU 18

MD RUVU 19

MWENYEKITI WA BODI PROFESA KONDORO ATEMBELEA HATUA YA MWISHO YA UKARABATI WA DARAJA LA RUVU !

MWENYEKITI WA BODI PROFESA KONDORO ATEMBELEA HATUA YA MWISHO YA UKARABATI WA DARAJA LA RUVU JUNI 02, 2017

Juni 02, 2017,mchana, Mwenyekiti wa Bodi ya TRL Profesa John Wajanga Kondoro akifuatana na Mjumbe wa Bodi Mhandisi Charles Mvungi walitembelea daraja la reli la Ruvu wakati Wahandisi na Mafundi wa TRL na Rahco wakimalizia kazi ya ukarabati wa daraja hilo . Njia ya reli kati ya Dar es Salaam na Morogoro imefunguliwa rasmi juzi saa 3 usiku na wakati taarifa hii ikitolewa treni zaidi ya sita za mizigo kutoka Dar es salaam na zile kutoka Morogoro zimeshapita katika daraja hilo moja zikibeba shehena ya mbali mbali ikiwemo mahindi ya WFP na shehena ya saruji kutoka kiwanda cha Nyati na wateja wengine. Habari zaidi ya ziara ya Mwenyekiti wa Bodi wa TRL katika picha……MWENYEKITI RUVU 1 FB

MWENYEKITI RUVU 1 FB 18

MWENYEKITI RUVU 1 FB 16

MWENYEKITI RUVU 1 FB 15

MWENYEKITI RUVU 1 FB 14

MWENYEKITI RUVU 1 FB 13

MWENYEKITI RUVU 1 FB 12

MWENYEKITI RUVU 1 FB 11

MWENYEKITI RUVU 1 FB 10

MWENYEKITI RUVU 1 FB 9

MWENYEKITI RUVU 1 FB 8

MWENYEKITI RUVU 1 FB 7

MWENYEKITI RUVU 1 FB 6

MWENYEKITI RUVU 1 FB 2

MWENYEKITI RUVU 1 FB 17

MWENYEKITI RUVU 1 FB 19

THE RAILWAYS ACT, 2002

posted in: Policies | 0

THE RAILWAYS ACT, 2002
An Act to make better provisions for development and promotion of rail transport service,.to establish Reli Assets Holding Company Ltd, to provide for regulatory framework of railway transport by SUMATRA and to provide for related matters.

ARRANGEMENT OF SECTIONS

PART I      PRELIMINARY PROVISIONS
PART II     INCORPORATION OF RELI ASSETS HOLDING COMPANY LIMITED
PART III    REGULATION OF RAIL TRANSPORT
PART IV    RAILWAY SAFETY
PART V     RAILWAY AND RAILWAY, WORKS
PART VI    OFFENCES AND PENALTIES
PART VII   MISCELLANEOUS PROVISIONS

For Further information, please download the attached full document below

Download Full Document: The Railways ACT, 2002 Full

Executive Business Plan

posted in: Business Plan | 0

Tanzania Railways Limited (TRL) was established in Tanzania in 2007, under Companies Act No. 12 of 2002, as a private company jointly owned by the Government of Tanzania (GOT) (49% shares) and RITES of India (51% shares). Before establishment of TRL, the central railway line was run by the Government’s owned Tanzania Railways Corporation (TRC) since 1977.

The establishment of TRL was a result of the Government policy to accelerate the country’s economic development by privatising the operations of, among other public owned companies, the central railway line. The specific main objective for TRL was to reverse the serious and continous decline in not only movement of freight and passengers, but also workers morale due to uncertainity of their future. Furthermore, improvement of the central railway line would enable Tanzania optimise benefits from its geographical location as a maritime country; by generating more revenue from transit traffic of exports and imports of the neighbouring landlocked countries. Management of the railway operations under TRL was handed over to RITES of India from 1st October, 2007.

After taking over, RITES LTD adopted a ten year (2007-2017) business plan based on the plan they had submitted during bidding time in year 2002. The 2007 plan envisaged increasing freight from 0.42 million tonnes in the period between October-December, 2007 to 3.14 million tonnes in 2017. However, contrary to this projection, traffic continued to drop. Consequently, the RITES lead TRL management revised its business plan in June, 2009; with projected 2.0 million tonnes to be moved by 2017, down from the earlier projection of 3.14 million tonnes. However, as was the case of implementation of the ealier plan, likewise freight traffic continued to drop from 577,581 tonnes in year 2007 to 267,008 tonnes in year 2011. This trend was not acceptable to the Government of Tanzania, which decided to buy the RITES LTD 51% shares. The deal was completed and the Government took over TRL from July, 2011.

In January 2013 the Government appointed a Board of Directors with a directive to revive TRL. The Board then embarked on preparing a revival strategy and business plan, which has culminated in the TRL Transformation Business Plan presented herein. The Plan is in line with the Government’s Big Results Now (BRN) programme, which includes improvement of the Central Corridor as one of the country’s six top priority sectors to focus on to achieve the 2025 Vision for Tanzania attaining middle income economy status.
According to the Transformative TRL Business Plan, the vision and mission statements for TRL are:

Vision: To be the choice for Affordable, Efficient and Safe Transport in Eastern Africa.

Mission: To provide Efficient, Cost Effective, Reliable and Secure Rail Transport Services in Eastern Africa

The key elemements of the Transformative TRL Business Plan are presented next.

 

Download Full Business Plan Summary : Click ‘TRL Executive Business Plan Summary